Kenya wabunge kupitia upya sheria zilizopitishwa na  Kenyatta

Kenya wabunge kupitia upya sheria zilizopitishwa na Kenyatta

Hatua hiyo inafuatia baadhi ya Wabunge kuwasilisha hoja kwa Spika Moses Wetang'ula wakidai baadhi ya Sheria ziko kinyume na Katiba na hazina idhini ya Bunge

Hata hivyo Wabunge wamewatuhumu Mawaziri waliopita kwa kutunga Kanuni ambazo zimekuwa Kandamizi, wakisema hazikufuata mkondo sahihi kabla ya utekelezaji

Benki Kuu ya Kenya (CBK) na Tume ya Ajira za Walimu (TSC) pia zimetajwa kupora Mamlaka ya Bunge kwa kujitungia Sheria zinazokinzana na Bunge. Spika Wetang'ula anatarajia kutoa uamuzi kuhusu hoja hizo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags