Kanye west: nyumba zitakuwa makanisa

Kanye west: nyumba zitakuwa makanisa

Rapa kutokea nchini Marekani, Kanye West ametangaza kuwa atakuwa miongoni mwa watu wasio na makazi ya kuishi kwani atageuza nyumba zake kuwa makanisa.

Katika interview aliyofanya na jarida la German Culture, Kanye amesema “Tuko chini ya utawala wa kibepari, ni wakati wa kubadilika, nitakubali kuwa ‘homeless’ nitageuza nyumba zangu kuwa makanisa.

“Tunatengeneza kituo cha watoto yatima , kitakuwa mahali ambapo mtu yeyote anaweza kwenda, chakula kitapatikana wakati wote,” amesema Kanye

 

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags