Kanye West kuingia urusi

Kanye West Kuingia Urusi

Aisee hii ni kubwa kuliko ambapo unaambiwa Rapper Kanye West anaripotiwa  kuelekea nchini Urusi kukutana na Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin pamoja na kujipatia makazi mapya nchini humo kwa Mujibu wa Chapisho La Billboard.

sasa bwana kwa mujibu wa ripoti ya Billboard Kanye West anakwenda nchini humo kukutana na Rais wa Urusi kusudi kuu likiwa ni kupanua biashara zake nje ya nchi.

Mhuri wa  Kanye Ameer Sudan ameiambia Billboard kuwa Urusi itakua ni nyumbani pia kwa Rapper huyo na kuendelea kusema kuwa atakuwa akitumia muda mwingi huko.
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on Career and skills development every Monday and entertainment, every Friday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include SMARTPHONE and NIPE DILI.

Latest Post