Kanisa laongoza maandamano dhidi ya waasi wa M23

Kanisa laongoza maandamano dhidi ya waasi wa M23

Kutoka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maelfu ya wananchi wameshiriki katika Maandamano ya Amani dhidi ya kundi la Waasi wanaopigana Mashariki mwa Nchi hiyo.

Hii imekuja  baada ya Kanisa Katoliki kutoa wito kwa Watu kuingia Mitaani baada ya Ibada za Jumapili huku hasira nyingi zikielekezwa kwa Rwanda inayotuhumiwa kuwaunga mkono Waasi hao.

Aidha, baadhi ya Viongozi wa Makanisa wamezitaka Nchi za Magharibi kuchukua msimamo mkali dhidi ya Serikali ya Rwanda






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags