Kamala atua nchini

Kamala atua nchini

Ni siku chache tuu zimepita tangu Makamu wa rais kutoka nchini Marekani Kamala Harris kutoa playlist ya wasanii wa bongo anaowaskiliza mara kwa mara, hatimae sasa ametua rasmi nchini ambapo anatarajiwa kufanya ziara ya siku tatu




Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, Kamala pamoja na mjumbe wake amepokelewa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango.

Aidha akiwa hapa nchini Kamala anatarajiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Samia Suluhu Hassan.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags