Kajala: Haikuwa ndoa ni tangazo

Kajala: Haikuwa ndoa ni tangazo

Hahahahah! Make hapa kwanza ncheke, bwana hivi mnaweza kuamini kuwa ile hakuwa ndoa? Basi bwana kwa mujibu wa Mama mzazi wa Paula Majani, Kajala amefunguka na kusema kuwa mtoto wake hajafunga ndoa kama walivyoripoti mwanzoni katika picha na video zilizotrend mitandaoni.

Kajala ameyasema hayo katika moja ya video iliosambaa sana ikimuonesha akiwa katika engagment ya rafiki yake na kusema kuwa, "Paula Bado mdogo sana, tulikuwa tunafanya tangazo na tumefanikiwa kwa kiasi chake,” amesema Mama Paula.

Mmmmmmmh! Dunia ina mambo hii wallah! Haya embu dondosha komenti yako hapo chini na utujuze kwa mara ya kwanza kuiskia Paula kaolewa ulifikiria nini?.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags