Juice inayofaa kwa wenye uzito mkubwa

Juice inayofaa kwa wenye uzito mkubwa

Wengi wana tengeneza juice za kawaida ambazo anaweza kunywa mtu yoyote yule lakini wakinywa watu wenye uzito mkubwa, uzito unaongezeka kwasababu juice nyingi zinawekwa sukari nyingi na sukari ndio inayoongeza uzito kwenye mwili.

Binafsi nimefanya utafiti nimegundua kwamba kuna baadhi ya mchanganyiko wa matunda bila sukari inasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza kabisa uzito kwa muda mfupi.

Unaweza kuchukua changamoto hii kwa watu wenye uzito mkubwa ukaifanya kuwa fursa ya biashara kwako, kwa kutengeneza juice ya mchanganyiko wa matunda ambayo yatasaidia kupunguza uzito mkubwa.

Juice ya matunda na mboga za majani husaidia kupunguza uzito mkubwa kwa muda mfupi; Ifuatayo ni mchanganyiko wa juice nya matunda na mboga za majani inayosaidia kupunguza uzito mkubwa mwilini:

Juice ya Carrot

Changanya carrot, apple na nusu chungwa pamoja na tangawizi kupata radha nzuri inayovutia mdomoni pamoja na kusaidia kutoa sumu yote mwilini.Juice ya carrot inasaidia sana kupunguza uzito kwa haraka kwasababu ina calories kidogo na ina fibers nyingi.

Juice ya Tango

Tango asili yake ni kusheheni maji mengi na kuwa na calories kidogo.Kihalisia ukitaka kupunguza uzito inakulazimu kuwa vyakula vyenye calories kidogo au kuchuma calories nyingi mwilini kwa kufanya mazoezi kila siku.

Kwa kuwa tango lenye lemesheheni maji mengi pamoja na fibers nyingi, kwahiyo inasaidia vizuri mmeng’enyo wa chakula kirahisi zaidi.Pia unaweza ukaongeza limao kidogo pamoja na karafuu kupata radha pamoja na kuongeza msukumo kubwa wa kuchanganyaji wa chakula kuwa rahisi zaidi.

Juice ya Komamanga

Komamanga inasaidia sana ngozi pamoja na ukuaji wake kiasili, pia komamanga inasaidia kupunguza uzito.Komamanga ina utajiri wa antioxidants, polyphenols and conjugated linolenic acid. Vyote hivi usaidia kuchoma mafuta mwilini na kuongeza spidi ya kuchakata virutubisho mwilini.

Juice ya machungwa

Machungwa yana kizana sana na wingi wa calories mwilini, unavyo kunywa zaidi juice ya machungwa ndivyo unavyo kupunguza wingi wa calories mwilini, unavyo punguza calories mwilini ndivyo unavyo punguza mwili.

Juice ya Nanasi

Nanasi inaminika kuwa ndio tunda pekee linadili na kupunguza mafuta mwilini.Kwenye nanasi kuna kirutubisho kinaitwa “bromelain” ambacho kinapatikana kwenye nanasi pekee.Kirutubisho hicho kinasaidia mchakato wa protein kuchoma mafuta mengi sana tumboni.Tabia hii inapatikana pia kwenye juice ya machungwa ambao inachuma calories nyingi kuliko mwili unavyochoma bila kunywa juice ya machungwa au nanasi.

Juice ya Cabbage

Unaweza ukachagua kati hizo juu ili zote zina kazi moja ya kupunguza uzito, unaweza ukaweka zote kwa wateja kubadilisha radha, pia usisahau kuweka tangawizi kwenye kila juice ili kuongeza radha zaidi na spidi ya kuchakata chakula kwa mtu alishiba sana.

Tafuta sehemu nzuri ya kufungua biashara yako, pia usisahau kuwa na instagram akaunti kwa ajili ya matangazo yako ya biashara ili watu wengi wapate kujua vizuri biashara yako na kuwabadilisha kuwa wateja wako wa kudumu.

“Huwezi punguza uzito kwa visingizo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags