John Cena arudi ulingoni (WWE)

John Cena arudi ulingoni (WWE)

Baada ya ukimya wa muda mrefu mwanamieleka John Cena arudi ulingoni tena kwa kishindo.

 

Ikumbukwe kuwa mwanamieleka huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu akiendelea kufanya mambo mengine kama vile kujihusisha na uigizaji sasa ameweza kuonekana tena ulingoni na kuwapa mashabiki wa mchezo huo kile walichokuwa wamekikosa kutoka kwake kwa muda mrefu.

 

Wengi wanaufahamu mchezo wa mieleka ambao asili yake ni Marekani kutokana na  kutamba sana kutokana mbwembe za baadhi ya ma-star wa mchezo huo akiwemo John Cena kushinda mikanda mingi zaidi.

 

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags