Jennifer lopez adaiwa kufunga ndoa

Jennifer lopez adaiwa kufunga ndoa

Moja ya story huko mitandaoni ni uwepo wa tetesi ambazo zinadai kuwa msanii Jennifer Lopez na mchumba wake Ben Affleck wanaelekea kufunga ndoa.

Suala hilo limeibuka baada ya J Lo kuonekana amevaa pete kubwa ya almasi kwenye kidole chake na kuificha baada ya kuona mapaparazi wa TMZ.

Tambua kuwa tayari J Lo na Ben wamenunua nyumba pamoja kwenye eneo wanaloishi mastaa na matajiri huko Bel-Air, C alifornia.

Kama mwanadada huyo na Ben wakifunga pingu za maisha, hiyo itakuwa ndoa ya nne kwa J Lo nay a pili kwa Ben Affleck.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags