Jackie Chan hajui chochote kuhusu Kardashians

Jackie Chan hajui chochote kuhusu Kardashians

Muigizaji mkongwe kutoka nchini China, Jackie Chan amewashangaza wengi baada ya kueleza kuwa haijui familia maarufu ya Kardashian, ambayo ndiyo anatoka mwanamitindo na mfanyabiashara Kim.

Kupia mahojiano ya Jackie Chen na moja ya podcast baada ya kuulizwa swali kama anawafahamu Kardashian na kueleza kuwa hajui chochote kuwahusu.

Huku akiuliza kama hiyo Lugha iliyotumika kuuliza swali hilo ni English kwani hajawahi sikia kabisa neno hilo Kardashian.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags