Irene Uwoya : Nanunua kiatu kwa milioni 10

Irene Uwoya : Nanunua kiatu kwa milioni 10

Ebwana waswahili wanasema usicheze na mwenyepesaa, mwenyepesa sio mwenzako bwana hii imedhihirika kwa Staa wa filamu Irene Uwoya ambapo amesema yeye sio mvivu kwenye kutumia pesa zake linapokuja suala la urembo.

Kupitia mahojiano na chombo kimoja cha habari nchini Uwoya amesema kwamba anaweza kununua hata kiatu kwa Tsh Milioni 10 na wala hajali.

Irene Uwoya anasema yeye sio mtu wa kuweka sana gharama anazotumia lakini kuhusu viatu anaweza kununua hata kwa Milioni 10.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags