Irene Uwoya Aachia ujumbe huu mtandaoni

Irene Uwoya Aachia ujumbe huu mtandaoni

Staa wa filamu nchini Irene Uwoya anaendelea kuwakumbusha watu kuwa waendelee kutafuta pesa kwa sababu mwanamke mzuri anatengenezwa haji hivihivi.


Kuthibitisha kauli yake hiyo star huyo ameamua kupost picha yake aliyoisindikiza na caption hizi unaoleza kuwa.

"Pisi za instagram bwana zinaweza kukufanya uone demu wako ni Non Living Thing, mwanamke mzuri anatengenezwa bruh".

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags