Irene Uwoya: 2022 Ni mwaka wa kupunguza watu

Irene Uwoya: 2022 Ni mwaka wa kupunguza watu

Eebwana ulishawahi kusikia usemi wa msanii wa BongoFlava Tundaman ambao unasema kama una rafiki snitch, mpenda bata, miyayusho au humuelewi we mpunguze tu.

Basi huo usemi pia rasmi sasa utatumiwa na msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya ambaye na yeye amesema kuwa mwaka mpya wa 2022 ni mwaka wa kupunguza watu, hata hivyo hajaweka wazi ni watu gani anaotaka kuwapunguza.

Kupitia page yake ya Instagram Irene Uwoya anasema "Mwakani ni mwaka wa kupunguza watu, #2022punguzawatu".

Ebu tuambie na wewe msomaji wetu mwakani kwako unatarajia kufanya kitu gani cha maendeleo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags