Ice Spice akataa kufanya  kolabo na Kanye

Ice Spice akataa kufanya kolabo na Kanye

Baada ya mwanamuziki Nicki Minaji kukataa kuingiza verse kwenye ngoma ya Kanye West iitwayo ‘New Body’, na sasa ni zamu ya ‘rapa’ Ice Spice naye ameripotiwa kukataa kuingiza verse katika wimbo huo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Kanye ame-share ujumbe kuwa amemtumia Ice wimbo huo aingize verse lakini ‘timu’ yake imesema kuwa msanii huyo hatoweza kuingiza verse hiyo.

Ikumbukwe kuwa wimbo wa ‘New Body’ ulitakiwa kuwepo kwenye album ya Kanye ya ‘Veltures 1’ lakini baada ya Nicki kukataa kuweka verse zake Kanye aliamua kuipunguza katika album hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags