Msanii huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya usimamizi wa Konde Gang, inafahamika kuwa hajasikika kwenye muziki kwa muda mrefu , hivyo basi ameendelea kuwakumbusha wapenzi wa muziki wake kusikiliza wimbo wake mpya unaoenda kwa jina la ‘Raha’ ambao ni wimbo wake wa kwanza kwa 2023.

Leave a Reply