Huu ndiyo muonekano mpya wa Asake

Huu ndiyo muonekano mpya wa Asake

Tazama muonekano mpya wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Asake baada ya kupunga dread alizokuwa nazo na kubakiza nywele chache kichwani.

#Asake ameachia muonekano huo kwa mara ya kwanza wakati akiwa kwenye show siku ya jana katika ukumbi wa ‘Scotiabank Arena’ Toronto nchini Canada.

kutizama video hiyo tembelea instagram ya @Mwananchiscoop

Vipi muonekano gani ulimpendeza zaidi, Huu au ule wa mwanzo?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags