Hatimaye Ibraah anatarajia kurudi mjini

Hatimaye Ibraah anatarajia kurudi mjini

Baada ya first born wa Konde Gang, Ibraah kukaa kimya wa muda mrefu bila kuachia ngoma sasa rasmi anatarajia kurudi mjini tarehe 15, akiwa na wimbo mpya utaoenda kwa jina la “Hapa.”

Ibraah ametangaza ujio wa wimbo wake huo mpya na kuwafanya wadau wa muziki kutamani kusikia mistari atakayo rudi nayo.

Ikumbukwe wimbo wa mwisho kuachiwa na msanii huyo ni “Nimepona” aliachia video yake  miezi sita iliyopita.

Unakubali wimbo gani wa mkali huyo?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags