Hatimaye Dugg amaliza kifungo chake

Hatimaye Dugg amaliza kifungo chake

Rapa kutoka nchini Marekani #42Dugg amemaliza kifungo cha mwaka mmoja na nusu gerezani baada ya kushitakiwa kumiliki bunduki kinyume na sheria na kutojisalimisha kwa polisi.

Vyanzo vya habari vinasema kwamba baada ya mwanamuziki huyo kutoka gerezani familia yake ilimchukua na kumpeleka moja kwa moja studio.

Ikumbukwe mwaka 2022 msanii huyo mwenye umri wa miaka 28 alikamatwa baada ya kujitokeza kutumikia kifungo chake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags