Harmonize hayupo tayari kuongeza mtoto mwingine

Harmonize hayupo tayari kuongeza mtoto mwingine

Mwanamuziki wa #BongoFleva #Harmonize ameeleza hayupo tayari kuwa na mtoto mwingine zaidi ya mtoto wake Zulekha,  Konde boy amemfananisha mwanaye huyo na mama yake mzazi.

Harmonize amedai hayo baada ya shabiki kumuuliza swali kupitia #Instastory kama anampango wa kuongeza mtoto mwingine.

Masanii huyo mwenye hits nyingi nchini amekuwa akionekana mara nyingi akiwa na mtoto wake huyo wa kike. Harmonize alimjibu shabiki kwa kuandika,

 “Sipo tayari. Zulekha Rajabu @zuu -konde, ni kama Mama Konde”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags