Harmonize azua gumzo mitandaoni

Harmonize azua gumzo mitandaoni

Unaambia huko mitandaoni msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdul maarufu kama Konde Boy Jeshi Harmonize amezua ngumzo baada ya kusambaa kwa bando la picha yake na Kajala.

Mbali na bango hilo Harmonize katika Insta story yake ameandika “You can see me, trust me I am not happy everyone khows in the gang I miss you,” ameandika   

Akimaanisha kwamba hana furaha, kuna mtu ame-mmiss, pamoja na masuala ya kifamilia.

Hata hivyo Harmonize amefunguka kuwa hakuna video ya ngoma ya mtaje kama ambavyo inadaiwa kutokana na kuonekana kwenye bango la picha yake na Kajala ikiwa ni promo ya video hiyo.

Kwenye Insta Story yake Harmonize ameandika kwamba "Hakuna video ya mtaje, narudia tena haya ni mambo binafsi, acha kupost kama unafikiri ni promotions, unaniua".






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags