Harmonize awakataa wasanii wa Bongo wasiyoimba kingereza

Harmonize awakataa wasanii wa Bongo wasiyoimba kingereza

Mwanamuziki wa BongoFleva #Harmonize leo mapema ameibuka na kusema kama msanii wa Tanzania hana wimbo wa kingereza asimuongeleshe hiyo ni baada ya wimbo wake wa #SingleAgain kufikisha watazamaji milioni 20 kwenye mtandao wa Youtube ndani ya miezi mitano .

 

Ameyasema hayo katika ukurasa wake wa Instagram wakati akifurahia na kujivunia  wimbo wake huo kufikisha watazamaji wengi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags