Harmonize Anunua Range mbili za Kajala

Harmonize Anunua Range mbili za Kajala

Msanii Rajabu Abdul maarufu Harmonize ameweka wazi kuwa Amemuagizia Gari lingine Muigizaji Kajala Frida aina ya Rangerover  nyeusi na hivyo kufanya Jumla ya Magari mawili ambayo Msanii huyo anakuwa amemnunulia Mugizaji huyo.

Harmonize ametoa taarifa hiyo kupitia Insta Story yake akionesha Range ya kwanza ambayo ni nyeupe aliyomnunulia mara ya kwanza kwa ajili ya kumuomba msamaha, na sasa nyingine inakuja nyeusi ili awe na range mbili.

Ebwana eeeh!! Niambie mdau umewahi kupata kitu gani cha gharama wakati unaubwa msamaha na mwenza wako? au ndo kikubwa uhai tu dondosha comment yako hapo www.mwananchiscoop.co.tz.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags