Harmonize aikubali album ya King Kiba

Harmonize aikubali album ya King Kiba

Ohoooo unaambiwa C.E.O wa Label ya KondeGang Harmonize ameamua kushow love kwa kaka yake kimuziki King Kiba kwa kupost Cover ya Album ya Only One King ambayo imetoka usiku wa kuamkia leo na kusindikiza na Ujumbe  Unaosomeka “Big Tunes”.

Hata hivyo jambo hilo limeleta Tafsiri chanya kwa mashabiki wengi wa Muziki kwa alichokifanya msanii huyo.

Tuambie wewe umelionaje hiloo? Tupia comment yako kupitia www.mwananchi scoop.co.tz






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags