Hamonize: I miss you partner

Hamonize: I miss you partner

Moja kati ya story ambayo inazidi kuzua gumzo mitandaoni ni  hii inayomuhusu Msanii wa bongo fleva Rajabu Abdul maarufu Harmonize bado anaendelea kumuelezea Muigizaji Kajala Frida jinsi gani anavyompenda.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Harmonize ameandika ujumbe unaoeleza kuwa amezunguka Karibia dunia nzima na kukutana na wasichana kibao lakini hajaona mwanamke kama kajala.

Harmonize ameandika ujumbe huo huku akiambatanisha na picha ya Kajala huku akiendelea  kumuomba msamaha kwa yale yaliyotokea.

Ebwana eeeh!! Konde boy bado anaendelea kubembeleza penzi kwa Kajala unaweza kumshauri nini konde juu ya hili? Tupia comment yako kupitia website yetu www.mwananchiscoop.co.tz.






Comments 3


  • Awesome Image

    Na Harmonize akirudia mara ya pili usizani atabaki ule kajala unaemjua ,tayari kaisha jua amependwa matokeo (utakomolewa)

  • Awesome Image

    Na Harmonize akirudia mara ya pili usizani atabaki ule kajala unaemjua ,tayari kaisha jua amependwa matokeo (utakomolewa)

  • Awesome Image
    Eric Elias

    Mimi kwa ushauri wangu mapenzi aya fosiwi ikiwa tayari mrisha kuwa kwenye mausiano mkatengana kurudiana inawezekana sasa kama Mimi ndio ningekuwa harmonize nammbembeleza mtu aoneshi ushirikiano naachana nae kwaama baadaye harmonize ndio ata kuja kujutia baada ya kufanikiwa kummbembeleza mwezie ata kuja kwa akiri yake kumchuta na kumpoteza kimziki na mshauri aendelee kukaza kimziki tu basi mapenzi yapo ila azingatie tasnia yake ndio imefanya mbaka amuone kajala na wengine wanakuja!

Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags