Hamisa: Utakuwa mtu ambaye dunia itajivunia

Hamisa: Utakuwa mtu ambaye dunia itajivunia

Katika kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake Hamisa Mobetto ameonesha furaha yake kwa kuandika maneno ya upendo kwa mtoto huyo wa pili, ambaye siku ya leo anasherekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake.

Kwenye maneno ya Hamisa amedai kuwa kumpata mtoto huyo wa kiume aitwaye Dylan kumemfunza na kumbadilisha mengi.

Hamisa kwenye furaha yake  amembariki mtoto wake kwa kusema kudai kuwa mtoto huyo atakuja kuwa mtu ambaye Dunia itajivunia siku moja.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags