Hakuna wa kushindana na Lil Wayne- Birdman

Hakuna Wa Kushindana Na Lil Wayne- Birdman

Baba mlezi wa wa msanii Liltunechi, Birdman amefunguka na kusema kuwa hajaona mtu wa kuweza kushindana na Lil Wayne kwenye stage ya Verzuz inayotafuta mkali wa hits.

Birdman ambaye pia ni mmiliki wa label ya ‘CashMoney’ amethibitisha hayo hivi karibuni katika mtandao wa bigfactspod na kusema kubwa labda Lil Wayne ajishindanishe wenyewe.

Amesema Wayne alitoa ngoma 100 ndani yam waka mmoja ambazo zilihit na kushika nafasi ya kwanza katika chati kubwa ulimwengu wa Billboard bn hakuna aliyewahi kufanya hivyo mpaka sasa.

Je unakubaliana na Birdman kwamba hakuna wa kumshinda LilWayne katika jukwaa la Verzuz, basi usisite kutupia maoni yako katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwananchiscoop.

 

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post