Giroud aonyesha makali yake, Aweka record mpya

Giroud aonyesha makali yake, Aweka record mpya

Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya AC Milan, #OlivierGiroud ameonyesha ukubwa wake ndani ya uwanja baada ya kubeba majukumu ya mlinda mlango dhidi ya Genoa katika ‘mechi’ ambayo magoli kipa wote wawili walitolewa nje kwa kadi nyekundu.

Mchezaji huyo alilazimika kuvaa ‘gloves’ za mlinda mlango baada ya mlinzi wa ‘timu’ hiyo #MikeMaignan kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa makossa ya kumpiga goti #CalebEkuban dakika ya 97.

Giroud alionyesha ukubwa wake kwa kufanya save ili ‘timu’ yake hiyo kuwa salama ambapo walimaliza ‘mechi’ kwa ushindi wa bao 1-0 na kufanya ‘klabu’ hiyo kupanda kileleni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags