Gigy Money: Usiforce bifu na mimi na wakati huliwezi

Gigy Money: Usiforce bifu na mimi na wakati huliwezi

Alooooh! It’s another Monday mwanangu sana na mambo ndo kwanza ya motooo. Basi bwana kupitia katika ukurasa wake wa kijamii, mwanadada Gigy Money ametoa povu zito akiwa ameandika.

“Sio kila kitu kina ashiria ugomvi.  Kama maisha yangu yana kukera piga chini, kaaa kwa kutulia usiforce bifu na wakati bifu huliwezi alafu mimi sigombani na mtu ambae sio star, maneno yangu yanakuumiza pole dear ila ndio nilivyoumbwa siwezi kuvumilia uwongo! Afu ivi ni viatu vyangu lakini kama unaona vinakutosha vaa tu maana we si Cinderella,” ameandika Gigy Money aka mama Mayra.

Mmmmmh! Mwanangu sana, je alichokizungumza ni sahihi au ndo anatafuta kiki kama kawaida yake? Dondosha komenti yako hapo chini mtu wangu wa nguvu.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags