Foxx bado amelazwa hospitali

Foxx bado amelazwa hospitali

Muigizaji kutoka nchini Marekani Jamie Foxx ameripotiwa kwamba bado amelazwa Hospitali huko mjini Georgia. vyanzo vya karibu na Jamie vimesema kuwa kwasasa muigizaji huyo anahitaji maombi.

Kufuatia TMZ news, Jamie amelazwa kwa zaidi ya wiki 3 sasa akiwa hospitali iliyopo mjini Georgia, na ikumbukwe tu april 12 mwaka huu binti yake alitoa taarifa kuhusu hali ya kiafya ya Foxx lakini hakutuweka wazi ni nini kinamsumbua muigizaji huyo ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya oscar lakini alitaja tu kuwa ni "medical complication"

Duh! All in all dua zetu tunazielekeza kwake ili aweze kurejea akiwa na afya ilio njema, pia msiache kufuatilia mitandao yetu ya kijamii @Mwananchscoop kwa mastory ya kuburudisha na kuelimisha.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags