Fidq kuja na kitabu chake

Fidq kuja na kitabu chake

Msanii wa Hip hop Farid kubanda maarufu Fidq amefunguka kuwa sasa yupo busy anaandika kitabu cha maisha yake ambacho amekipa jina la Theswahilikid.

 

Akizungumza na waandishi wa habari Fidq  amethibitisha hilo siku ya jana ambapo ameeleza kuwa ni uandishi wake mwanzo mwisho (yeye ndiye anayekiandika kupitia simu yake).

 

Yes wapenzi pamoja na mashabiki wa Fidq kaeni mkao wa kula bwana kutoka kwenye kufoka hadi uandishi sasa imekaaje hiyo? Dondosha comment yako hapo chini bwana






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags