Fbi Wafanya Ukaguzi Nyumbani Kwa Ex Wa Lopez

Fbi Wafanya Ukaguzi Nyumbani Kwa Ex Wa Lopez

Shirika la upelelezi Marekani (FBI) imefanya ukaguzi nyumbani kwa aliyekuwa mume wa mwigizaji Jennifer Lopez, Ben Affleck, hii ni baada ya maafisa hao kuonekana wakitoka nyumbani kwa Ben.

Kwa mujibu wa tovuti ya Tmz Maafisa wa FBI, pamoja na maafisa wa sheriff wa Kaunti ya L.A., walivamia eneo la Brentwood ambapo Ben sasa anaishi baada ya hivi karibuni kutengana na mkewe wa zamani, Jennifer Lopez.

Hata hivyo, baadhi ya majirani katika eneo hilo waliiambia tovuti ya TMZ kuwa uchunguzi huo haukuwa kwa ajili ya Ben licha ya maafisa kuonekana mlangoni kwake. Hivyo Ben anaweza kuishi kwa amani kwani hana mashitaka yoyote ya kisheria.


Ikumbukwe Jumamosi, Januari 11,2025 Ben alihama katika moja ya nyumba yake iliyopo Las Angeles ambapo sehemu moto unawaka na kuhamia Brentwoo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags