Fahyvanny: Kama mume wako hajakuchora tattoo pole

Fahyvanny: Kama mume wako hajakuchora tattoo pole

Mpenzi wa mwanamuziki #Rayvanny, #Fahyvanny awajia juu wanaotoa maneno baada ya Rayvanny kumchora tattoo mkononi.

Fahyvanny amewataka watu kupunguza makasiriko huku akiwapa pole ambao hawajachorwa tattoo na waume zao. Ameandika,

“Kama mume wako hajakuchora tattoo poleee izo sio shida zangu, mpunguze kuniletea makasiriko yenu kwenye page yangu”
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags