Ex wa Burnaboy aweka wazi kuwa msanii huyo hana nguvu za kiume

Ex wa Burnaboy aweka wazi kuwa msanii huyo hana nguvu za kiume

Uwiiiiiiiiiiiiih! Jamani jamani sio swala la kumcheka mtu wala kumtangazia mtu basi bwana gumzo mitandaoni ni kwamba yule muimbaji mashuhuri kutoka nchini Nigeria Burnaboy kuwa hana nguvu za kiume.

Taarifa hiyo imetolewa na aliekuwa mpenzi wa mwanamziki huyo kupitia instastory yake na kueleza kuwa ameamua kuachana na Burnaboy kwasababu hakuweza kumfanya kuwa mama katika kipindi cha miaka mitatu ya mahusiano yao kuwa msanii huyo hana uwezo.

Mwanamke huyo alimwaga mchele kwa waja na kusema kuwa "mwanzo sikutaka kutaja sababu hapo awali lakini lazima niliseme. Burnaboy maarufu kama"African giant"  ni mtu asiye na uwezo, Nilimwacha kwa sababu hakuweza kunipa mtoto." Aliandika Stefflon

Basi bwana naye Barnaboy hakuwa nyuma aliamua kumjibi kupitia ukurasa wake wa snapcharty aliamua kumjibu kuwa “Sawa, mimi ni mwanaume asiye na nguvu, lakini nina pesa” ameandika Burnaboy






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags