Dully: sijawahiku pata tuzo tz

Dully: sijawahiku pata tuzo tz

Aiseee ukisikia kimeumana ndiyo hii sasa ambapo Star wa muziki wa Bongo fleva Dullysykes ameweka wazi suala la kutoshiriki katika tuzo za Tanzania music award. Aidha star huyo amefunga na kusema kuwa hajawahi kupata tuzo hapa nchini. "sijawahi kupata tuzo katika nchi yangu" - Dully sykes Ebwana eeh!! unaweza kuchangia juu ya taarifa hiyo kupitia website yetu ya www.mwananchiscoop.co.tz .






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags