Dube afuta picha zote akiwa na jezi za Azam

Dube afuta picha zote akiwa na jezi za Azam

Wakati sakata la mshambuliaji Prince Dube na ‘timu’ yake ya Azam FC likizidi kupamba moto, ripoti zinafichua kwamba Mzimbabwe huyo amefuta utambulisho na picha zake akiwa na ‘jezi’ ya Azam FC alizokuwa ameziposti kwenye ukurusa wake wa Instagram.

#Dube aliandika barua ya kuomba kuondoka Azam FC, ambapo amejibiwa kuwa anapaswa kulipa Dola 300000 za Kimarekani ili kuvunja mkataba wake.

Ripoti zinadai, #Dube amewasilisha Dola 150,000 na kugonga mwamba, akiambiwa anapaswa kulipa mzigo wote ili awe mchezaji huru.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags