Drake ataka Tory aachiwe huru

Drake ataka Tory aachiwe huru


Mwanamuziki kutoka nchini Canada #Drake ameonesha ‘sapoti’ yake kwa ‘rapa’ Tory Lanez akitaka aachiwe huru kutoka jela.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya jana Februari 26 #Drake ali-posti picha ya Tory iliyokuwa na maneno yasomekayo ‘3 you’ huku kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo vikieleza kuwa maana ya maneno hayo ni ‘free you’.

Tory Lanez anatumikia kifungo cha miaka 10 gerezani baada ya kukutwa na hatia kwa kupiga risasi aliyekuwa mpenzi wake na ‘rapa’ Megan Thee Stallion mwaka 2020, hukumu iliyotolewa Agosti mwaka 2023.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags