Drake aonesha mahaba mazito kwa mwanaye

Drake aonesha mahaba mazito kwa mwanaye

Msanii kutoka nchini Marekani Drake anaendelea kuonyesha mapenzi mazito kwa mtoto wake wa kiume Adonis, kwa kuchora tattoo mpya shingoni ya jina la mtoto huyo.

Ikumbukwe hiyo itakuwa tattoo nyingine mwilini mwake kumuhusu mtoto huyo kwani mwaka 2019 alichora sura ya mwanaye katika mkono wake wa kulia.

 

Je wewe unaweza chora tattoo kama ishara ya upendo kwa mtoto wako?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags