Drake ajitoa tuzo za Grammy 2022

Drake ajitoa tuzo za Grammy 2022

Unaambiwa moja ya story kubwa huko mitrandaoni ni hii ya msanioi wa muziki Drake kuliondoa jina lake katika tuzo za Grammy 2022.

Msanii huyo alikuwa akiwania katika vipengelr viwili ambavyo ni  Best Rap Album na Best Rap Perfomance.

Hata hivyo bado haijawewkwa wazi sabbau iliyomfanya msanii huyo kujiondoa katika tuzo hizo lakini tovuti ya Variety inaripoti kwamba maamuzi hayo yametoka kwa Drake mwenyewe pamoja na uongozi wake.

Eee bwana najua unazocomment mbalimbali kuhusiana nah ii ishu ya Drake basi usisite kuyatupia katika ukurasa wetu wa Instagram pale ambao ni @mwananchiscoop.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags