Dogojanja:ulifungua milango

Dogojanja:ulifungua milango

Yaap!! hii ni kutoka kwenye ukurasa wa msanii dogojanja ameamua kumuandikia ujumbe huu  young daresalama katika siku yake ya kuzaliwa hiki ndicho alichokiandika

''My brother genz! the icon, kiongozi, ulitufungulia milango, tukaamini katika umri… ishi sana senior young daresalama ukitoa mambo ya mziki tu uko na roho nzuri sana bro! nakumbuka 1st nakutana na wewe tukapiga picha na baadae nkawa msumbufu wako hadi ukashika adabu.. sema fresh umenizidi kunitangulia ila sio mambo ya rap! ishi sana mnyakyusa wa soko matola.. kijana aliyeanguka akanyanyuka tena.. love you bro you are the big inspiration to me!! young daresalamahappy birthday Senior ''

Ebwana eeeh!! Hizo ndo wishes za Janjaro kwa mtu wake na kaka yake akimtakia kheri nyingi bwana dondosha comment yako hapo je kwa upande wako watu ambao wamekuinspire katika jambo Fulani huwa unawakumbuka?

Tuambie kupitia  website yetu www.mwananchi scoop.co.tz






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags