Dogojanja anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni

Dogojanja anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni

Oooyeeeah! I hope umeshahisabiwa mtu wangu wa nguvu, sasa bwana leo kwenye gumzo mitandaoni kutoka kwa yule Janjaro mtu mbad amefunguka na kuweka wazi kuwa anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mpenzi wake Quenlinnatoto.

Ameyaeleza hayo katika moja ya mahojiano yake na chombo cha habari na kusema kuwa “tunasema mungu akijalia kwasababu kila kitu tunakiombea heri, mipango ipo mimi sio kijana muhuni ni kijana mwenye hofu ya mungu kwahiyo nadhani ni kitu ambacho kipo hapa usoni kinakaribia make mkao wa kula” amesema Dogojanja

Aloooooh! Una yapi ya kumwambia kijana huyu dondosha komenti yako hapo chini mwanangu sana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags