Diva: Sipendi wanaume wachafu

Diva: Sipendi wanaume wachafu

Moja kati ya story zinazojadiliwa katika mitandao ya kijamii ni kauli ya mtangazaji wa kipindi cha LaviDavi cha WasafiFm, Diva The Ebawse ambaye ameweka wazi kuwa apendi wanaume wachafu.

Diva ametoa kauli hiyo wakati akijibu maswali ya mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema kwamba endapo mwanaume atakuwa mchafu na sio msafi wa mwili na akili basi lazima atam-cheat tu.

“Kama vikikosekana hivyo vitu kwenye mahusiano yangu kwanini nisichepuke, napenda kuwa na furaha maisha yenyewe mafupi mnooo,” amesema Diva.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags