Didah Atoa sababu ya kuwa Single

Didah Atoa sababu ya kuwa Single

Moja kati ya jambo ambalo linazidi kuzungumziwa mitandaoni ni kuhusiana na sakata la Mtangazaji Khadija Shaibu maarufu Didah kuwa bado yupo kwenye ndoa au la.

Kuptia kipindi cha Mashamsham Didah amefunguka kuwa hana shida ya mume yuko bize na kutafuta pesa.

Sambamba na hayo amebainisha kuwa sababu za yeye kubaki kuwa Single yaani kuishi bila mahusiano ameeleza haya.

“Kwa sasa sihitaji bwana natafuta pesa naenjoy maisha yangu sijawahi kulia kuhusu mapenzi”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags