Diamond: Sipendi kushindana na watu wa nchi hii

Diamond: Sipendi kushindana na watu wa nchi hii

Msanii Diamond amedai kuwa hapendi kushindana na watu wa nchi hii kwani hata akitoa intro ya wimbo ina-hit kuliko nyimbo za wasanii wengine.

Hayo yamekuja baada ya into ya Diamond 'We Zombi Haujui' kuonekana kupendwa na baadhi ya watu hadi kufikia hatua ya kuandika kwenye chombo cha usafiri.
.
.
.
#MwnanchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post