Diamond: Mkome viherehere tunapoachia ngoma zetu

Diamond: Mkome viherehere tunapoachia ngoma zetu

Nyota wa muziki nchini #DiamondPlatumz katika Instastor yake ameweka ujumbe uliobebwa na video ya watu wa #Madrid wakicheza wimbo wake wa Amapiano ‘Shu’.

Diamond kwenye video hiyo ameandika kuwa huo ndiyo wimbo wa amapiano uliyo ‘hit’ kimataifa kuliko ngoma yoyote mwaka huu nchini na kusema siku nyengine watu wakome viherehere, wanaume wanapoachia ngoma zao.

.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags