Diamond: Balaa la Mama Dangote Madale

Diamond: Balaa la Mama Dangote Madale

Mama mzazi wa msanii maarufu nchini Diamond, mama Dangote anaendelea kufanya yake kwa kuongeza mjengo mwingine.

Diamond ame-post clip ikimuonyesha mama yake akiwa na mafundi huku ikionekana nyumba ikiwa katika hatua za mwisho kabisa  kumalizika.

Kupitia video hiyo aliyo-post Diamond amesikika akisema,

“Mama Dangote anafanya balaa hapa Madale sijui anafanya kitu gani me sielewi inaonekana kuna jambo analifanya hapa Madale”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags