Diamond ang’ara Tuzo za AFRIMMA

Diamond ang’ara Tuzo za AFRIMMA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, #DiamondPlatnumz ameibuka mshindi wa Tuzo ya African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) akiwa Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki.

Ugawaji wa tuzo hizo umefanyika Septemba 17 usiku wa kuamkia leo Dallas Texas nchini Marekani.

Wasanii wengine watatu kutoka Afrika waliweza kuonekana katika tuzo hizo akiwemo #AyraStarr kutoka Nigeria, #NadiaMukami kutoka Kenya na #KingPromise kutoka Ghana wakishinda vipengele tofauti tofauti.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags