Diamond akimchimba biti D voice kutovaa vitu feki

Diamond akimchimba biti D voice kutovaa vitu feki

Mwanamuziki Diamondplatnumz akimkabidhi msanii mpya wa WCB D Voice cheni mpya yenye mchanganyiko wa madini iliyotengenezwa kwa muundo wa nembo ya WCB huku akimtaka msanii kutovaa cheni feki (mabati).

D Voice amekabidhiwa cheni hiyo siku ya jana ikiwa ni muendelezo wa bata la kumkaribisha msanii huyo usafini.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags