Davis kizimbani kwa mara ya kwanza, Mauaji ya Tupac

Davis kizimbani kwa mara ya kwanza, Mauaji ya Tupac

Mtuhumiwa wa mauaji ya ‘rapa’ Tupac, Duane "Keffe D" Davis, amefikishwa mahakamani siku ya jana Jumatano, baada ya kukamatwa na ‘polisi’ kwa tuhuma za mauwaji ya ‘rapa’ huyo yaliyotokea mwaka 1996.

Davis amepandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza katika Mahakama ya Nevada Las Vegas nchini Marekani, shauri hilo lilipigwa kalenda baada ya wakili wa mshitakiwa huyo kutokuwepo na kufanya shauri hilo kupelekwa mbele mpaka Oktoba 19.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags