Chipsi za muundo wa chapa ya Nike zauzwa zaidi ta tsh 4 milioni

Chipsi za muundo wa chapa ya Nike zauzwa zaidi ta tsh 4 milioni

Muuzaji wa vyakula katika tovuti ya #eBay, #impala6_9 amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuuza chipsi kwa bei ghali zenye muundo wa logo ya kampuni ya #NIKE.

Chipsi hizo zilizopewa jina la ‘Nike swoosh shape Franch’ zinadaiwa kugharimu dola 1,800 ambayo ni zaidi ya tsh 4 milioni kwa package moja.



Aidha imeelezwa kuwa kwa sasa zitauzwa kwa watu wa kawaida lakini kwa siku za usoni zitauzwa kwa wateja ambao wanatumia bidhaa za #Nike kwa lengo la kuwapa thamani wateja






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags