China kumenoga white party ya Hamisa

China kumenoga white party ya Hamisa

Ukisikia kujipata basi Hamisa Mobetto amejipata haswa, usiku wa kuamkia leo mrembo huyo amefanya party nchini China akiwa na mpenzi wake mpya anayefahamika kama Kevin Sowax.

Ambapo katika baadhi ya clip zimemuonesha mwanadada Hamisa akiwa na mpenzi wake huyo, huku party hiyo ikiwa imeshamili wageni waalikwa waliovaa nguo zenye rangi nyeupe.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags